Eunetta T. Boone (1955 - Machi 20, 2019) alikuwa mwandishi na matayarishaji wa vipindi vya televisheni. Mwanamama huyu alikuwa ni mbunifu na mwandishi wa vipindi mbalimbali vya televisheni enzi za uhai wake, alikuwa akifanya kazi kama mtayarishaji mkuu na mwongozaji vipindi kwa vipindi vitatu katika Chaneli ya Disney mfululizo wa filamu inayoitwa Raven's Home.